Font Size
Luka 12:51-53
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Luka 12:51-53
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
51 Mnadhani nilikuja kuleta amani ulimwenguni? Hapana, nilikuja kuugawa ulimwengu! 52 Kuanzia sasa, familia ya watu watano itagawanyika, watatu watakuwa kinyume cha wawili, na wawili kinyume cha watatu.
53 Kina baba watakuwa kinyume cha wana wao:
na wana nao watakuwa kinyume cha baba zao.
Kina mama watakuwa kinyume cha binti zao:
na binti nao watakuwa kinyume cha mama zao.
Mama wakwe watakuwa kinyume cha wake za wana wao,
na wake za wana wao watakuwa kinyume cha mama wakwe zao.”[a]
Footnotes
- 12:53 Tazama Mik 7:6.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
Copyright © 2017 by Bible League International